Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MVUA YASABABISHA NDEGE ALIYOPANDA KINANA KUCHELEWA KUTUA KWA DAKIKA 20 ZANZIBAR


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kutoka kwenye ndege ya kampuni ya Flightlink kwenye uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya kukaa angani kwa dakika 20 zaidi ya muda uliopangwa kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya na mvua kubwa kunyesha.Katibu Mkuu amewasili Zanzibar kwa ajili ya mkutano wa hadhara utakaofanika kwenye viwanja vya mikutano vya Kibanda Maiti.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi  CCM Nape Nnauye akishuka kutoka kwenye ndege ya kampuni ya Flightlink kwenye uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya kukaa angani kwa dakika 20 zaidi ya muda uliopangwa kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya na mvua kubwa kunyesha. Katibu Wa NEC ameongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

 Mvua kubwa ikinyesha Zanzibar ambapo CCM inatazamiwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara.
Mitaa mbali mbali ikiwa imefurika maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Zanzibar.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top