

Mwimbaji
wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akifanya
mambo makubwa huku akipigwa tafu na waimbaji wake. 

Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akiita mashabiki wasogeee jukwaani

Mh.
William Ngeleja akinyanyua juu albam mbili za mwimbaji Grace Mwikwabe
wakati akizindua albam hiyo kulia ni Alex Msama Mkurugenzi wa Msama
Promotion na kushoto ni mwimbaji Grace Mwikwabe.

Mh.
William Ngeleja akizungumza na kutoa ujumbe wake katika tamasha hilo ,
anayefuata kulia kwake ni Jaquline Liana mkuu wa wilaya ya Magu na
viongozi wengine.
Mh.
William Ngeleja akiwa ameshika albam ya mwimbanj wa injili Grace
Mwikwabe huku Maaskofu wa Mwanza wakiiombea wakati ilipokuwa
ikizinduliwa rasmi
Mkurugenzi
wa Msama Promotion Bw. Alex Msama aktoa neno katika tamasha hilo,
kushoto ni Mh. William Ngeleja na katikati ni Jaquiline Liana Mkuu wa
wilaya ya Magu.
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Kenya Sara K. akifanya vitu vyake huku mashabiki wakimpongeza.
Mkurugenzi
wa Msama Promotion Alex Msama akicheza mara baada ya kuguswa na wimbo
mmoja wapo Mwimbaji Rebecca Malope akiimba jukwaani.
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Kenya Sara K. akifanya vitu vyake
Upendo Kilahiro naye akafanya mambo makubwa na kuimbisha mashabiki wake.
Upendo Kilahiro akicheza na MC Mwakipesile na waimbaji wenzake Faraja Ntabona wa Congo DRC na Tumaini Njole.
Mkurugenzi
wa Msama Promotion Alex Msama akimkaribisha mgeni rasmi Mh. William
Ngeleja wakati walipowasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba katika tamasha
la Pasaka wengine ni maaskofu wa mkoa wa Mwanza.
Alex Msama na vijana wake
Upendo Nkone naye ametisha
Baadhi ya mashabiki wakiwa katika uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kushuhudia tamasha la Pasaka.
Ni Full nyomi












Post a Comment