Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WABUNGE WAPOKEA MAPENDEKEZO YA MFUMO WA BAJETI KWA MWAKA 2014/2015 KATIKA UKUMBI WA MWAL. NYERERE,JIJINI DAR ES SALAAM

 


 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Uhusiano Mhe. Steven Wazira akiwasilisha mwelekeo wa hali ya uchumi kwa mwaka 2014/2015 kwa waheshimiwa wabunge
 Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo wa Mapato na Matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 kwa Waheshimiwa Wabunge.
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akitoa maneno ya utangulizi kwa Waheshimiwa Wabunge wakati wa semina ya wabunge wote kwa ajili ya uwasilishwaji wa mapendekezo ya mfumo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015.
 Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Uhusiano Mhe. Steven Wazira wakipitia nyaraka mbalimbali wakati Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akitoa maneno ya utangulizi kwa Waheshimiwa Wabunge wakati wa semina ya wabunge wote kwa ajili ya uwasilishwaji wa mapendekezo ya mfumo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015.
 Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila akisikiliza kwa makini hotuna ya Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo wa Mapato na Matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 kwa Waheshimiwa Wabunge.
 Wabunge wakifuatilia hotuba kwa makini.
Watendaji wa Wizara ya Fedha wakimsikiliza Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum. Picha na Owen Mwandumbya.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top