
Vijana
wa Manuel Pellegrini walipanda kileleni kwa wastani mzuri wa mabao ya
kufunga na kufungwa baada ya kushinda mabao 3-2 dhidi ya Everton kwenye
uwanja wa Goodison Park jumamosi iliyopita, huku wakisubiri mechi ya leo
baina ya Liverpool na Crystal Palace.
Kama
timu zote zitashinda mechi zao mbili za mwisho, bingwa atapatikana kwa
tofauti ya magoli, na Rodgers anaamini timu yake itafunga mabao mengi
zaidi katika mechi zake za mwisho ili kujiweka mazingira mazuri ya
kubeba taji.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
Post a Comment