JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA
HALI YA HEWA
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH : UPOTOSHWAJI WA TAHADHARI YA
HALI YA HEWA KUHUSIANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Mamlaka ina
kuwakumbusha wananchi wote kuendelea kufuatilia taarifa zetu kupitia vyanzo
husika vya Mamlaka vikiwemo utabiri wa kila siku utolewao kupitia radio, televisheni
na tovuti ya Mamlaka (www.meteo.go.tz).
Taarifa sahihi za mwenendo wa mvua na
tahadhari za hali mbaya ya hewa zinatolewa
na zinapatikana kupitia njia rasmi za utoaji taarifa maalum za kiofisi
(official weather statement). Hivyo taarifa kuhusiana na mvua
zinazoendelea imekuwa ikitolewa katika utabiri wa kila siku kupitia vyombo vya
habari, mtandao wa kijamii wa Mamlaka na
tovuti ya Mamlaka.
Tunawatakia shughuli njema katika
ujenzi wa Taifa letu.
Simu: +255 22 2460706-8
Telefax:
+255 22 2460735,
2460700
S.L.P. 3056,
Barua
pepe:
met@meteo.go.tz
DAR ES SALAAM
Tovuti: www.meteo.go.tz
05/05/2014
IMETOLEWA NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
Post a Comment