Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Umeuona utani uliosambazwa kuihusu Chelsea inayocheza na Atletico Madrid

Screen Shot 2014-04-30 at 8.00.29 PM
Leo Chelsea inacheza na Atletico Madrid ambapo watani wameshalianzisha kwa kusambaza picha na maneno kuhusu club hiyo ya Chelsea ambayo imekua ikipokea headlines za lawama kwamba imekua ikicheza kwa mfumo wa kuweka basi golini yani wachezaji kujazana.
Ni meneno ambayo yamekua yasikika hata kutoka kwa baadhi ya makocha walioamua kuweka wazi na kuuponda uchezeshaji wa kocha Jose Mourinho kupanga wachezaji golini kama basi ambapo hii hapa chini ni msg iliyosambazwa ikiambatana na hiyo picha.Screen Shot 2014-04-30 at 8.00.36 PM

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top