Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa
Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele
ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es
Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari
polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict
Mwingiwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele
ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es
Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari
polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict
Mwingiw
Mkurugenzi
wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Issaya Mngulu akila kiapo
cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele
ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es
Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari
polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict
Mwingiwa
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdani Omar Makame akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele
ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es
Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari
polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict
Mwingiwa
Kamishna
wa Utawala na Utumishi wa Jeshi la Polisi, Thobias Andengenye akila
kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele
ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es
Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari
polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict
Mwingiwa Picha zote na Frank Geofray-Jeshi la Polisi
Post a Comment