Mtangazaji
wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost
picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla
Producer Marco Chali na wengine wakiungana na wabongo kama Mbunge Zitto
Kabwe na wengine duniani kupinga ubaguzi wa mchezaji wa Barcelona Dani
Alves wa kutupiwa ndizi uwanjani.
Picha ya kina Salama imepigwa na Doreen Andrew wa XXL Clouds FM.
Post a Comment