Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AJALI MBAYA YATOKEA UBUNGO DARAJANI KWENYE KIVUKO CHA WAENDA KWA MIGUU ... ONA TUKIO LIVE

 







Ajali hii imetokea Ubungo Darajani karibu na mitambo ya kuzalishia gesi ambapo lori la kubebea mchanga likiwa limegonga gari dogo ambalo lilikuwa likikatisha barabara ghafla, haikufahamika maramoja kama ajali hiyo imejeruhi watu lakini hakuna mtu aliyepoteza maisha.

Inadaiwa na mashuhuda ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva wa garidogo kuingia ghafla barabara kuu
 
Credit: edwinmoblaze blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top