Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CESC FABREGAS ASAJILIWA NA CHELSEA PICHA TAZAMA HAPA

Fabregas, katika akiwa na jezi yake mpya ya chelsea baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano, kulia wakati akiwa arsenal na kushoto sasa akiwa na timu ya taifa ya hispania ambao ndiyo mabingwa watetezi wa kombe la dunia.
 Hatimaye Cesc Fabregas amerejea England tena jijini London ambako amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea Chelsea.
Chelsea ya Jose Mourinho imetoa kitita cha pauni milioni 30 kumnasa Fabregas kutosha Barcelona.
Kiungo huyo wa zamani wa Arsenal amekubali kutua Chelsea chini ya Jose Mourinho na amesema alitamani kuichezea klabu hiyo tokea akiwa mdogo. "Niliona bado sijamaliza kazi England, nimeamua kurudi na ninataka makombe tena. "Najua Chelsea ina wachezaji bora na meneja wa kiwango cha juu kabisa. Nimefurahi sana," alisema Fabregas ambaye sasa yuko na Hispania inayopambana kutetea ubingwa wake wa dunia nchini Brazil.

BARUA KUTOKA BARCELONA, KUMTAKIA FABREGAS KILA LA KHERI, PIA KUTHIBITISHA BIASHARA IMEFANYIKA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top