Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

GUEST MAARUFU YAUNGUA MOTO MUHEZA-UBENA JIRANI NA SOKO KUU LA MUHEZA ALFAJIRI YA SAA KUMI LEO ..WATEJA WATIMUA MBIO UCHI


GUEST YAUNGUA MOTO ASUBUHI HII ILIYOKO MUHEZA UBENA JIRANI NA SOKO KUU LA MUHEZA IKIELEZWA CHANZO CHA MOTO HUO NI SHOTI YA UMEME.



SAKATA HILO LIMETOKEA LICHA YA BAADHI YA WANANCHI KUJITAHIDI KUUZIMA MOTO HUO LAKINI HAZIKUFUA DAFU ... AMEKARIRIWA MUOKOAJI MMOJA AKISEMA  "wakoaji wetu wako fasta ila miundo mbinu hakuna kabisa wilaya yetu ya muheza nyumba ingeweza kabisa kuokolewa ila hatafaya hatuna majanga kama haya"

Majanga hayo yametokea huku wateja wakiwa ndani wamelala na kusababisha kutoka ndani mbio kuokoa maisha yao wengine wakiwa uchi wa mnyama na wengine wakiwa na chupi tu....

INASEMEKANA MMILIKI WA GUEST HII ALISHAFARIKI



MUOKOAJI AKIONESHA JITIHADA ZAKE ZA KUNUSURU MALI BAADA MOTO KUPUNGUA


Photo
SASA KUMEKUCHA WANANCHI WAKIWA NA NDOO ZA MAJI WALIZOKUWA WAKIZITUMIA KUZIMIA MOTO HUO
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top