Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HABARI ZAIDI ZA FLORA MBASHA NA USANII WAKE WA KUBAMBIKIZIA WANAUME UONGO HII HAPA ALIMFANYIA MCHUMBA WAKE WA KWANZA PIA!!


Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa Imma Lugisha huko Mwanza kabla hajaja Dar akiwa amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya kufunga ndoa Flora akapata safari ya kwenda UK ambako wenyeji wake walimshauri kwamba kwa uzuri wake atapata Mume mzungu mwenye pesa kuliko Imma yule wa Mwanza. Ili kumkimbia Imma Flora na familia yake wakamtengenezea ishu Imma mchumba wake kwamba ana Ukimwi kwa hiyo Flora hawezi kuolewa naye, mpaka leo Imma hajawahi kuoa tena na wala hana hamu kumbe hili la kumsingizia Mumewe kumbaka mdogo wake hakuna jipya kwa wanaomjua vizuri ila ilikuwa tu the matter of time kabla hanaswa!!
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top