Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

USWISI YAICHAPA ECUADOR 2-1, REKODI YA AJABU HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU 1934

 

USWISI imetoka na nyuma na kushinda maBao 2-1 dhidi ya Ecuador katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia, mabao yote yakifungwa na wachezaji waliotokea benchi mjini Brasilia.
Admir Mehmedi alikuwa amedumu uwanjani kwa sekunde 121 tu wakati amnaifungia Uswsi bao la kusawazisha kufuatia Enner Valencia kuwafungia Ecuador la kuongoza.
Bao la Seferovic pia lilihakikisha hakuna safe katika michuano hiyo hadi sasa kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1934.
RHigh boot: Antonio Valencia attempts to get past Swiss left-back Ricardo Rodriguez
Hakuna kuremba: Winga wa Ecuador, Antonio Valencia akiwa a einua mguu juu kupiga mpira dhidi ya beki wa kushoto wa Uswsi, Ricardo Rodriguez
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top