Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Watoto Njiti Mapacha wafanyiwa kitu mbaya na Baba Yao

Watoto mapacha wakiwa wamelala.

Fatuma Hussein akiwa na watoto wake mapacha.
Fatuma Hussein akiwa na watoto wake mapacha 
DADA mmoja Fatuma Hussein (30), anaomba msaada kwa Watanzania baada ya kutelekezwa na mzazi mwenzake.Akizungumza na mwandishi wetu maeneo ya Magomeni Makanya,Dar dada huyo anadai kuwa aliishi na mzazi mwenzie kwa miezi miwili kama mke na mume na ndipo akapata ujauzito,wakati huo alishajitambulisha nyumbani kwao na kutoa posa baada ya kujifungua watoto  njiti mapacha wakiwa na miezi saba
Watoto mapacha wakiwa wamelala.
Watoto mapacha wakiwa wamelala.
Rahma akiwa kalala
Rahma akiwa kalala
Rahmu akiwa kwenye pozi.
Rahmu akiwa kwenye pozi.
Anadai mzazi mwenzake aitwaye
Mussa Unguja kamtelekaza, akaongeza kuwa huwa haji kuwaona watoto. “Nikimpigia simu hapokei lakini siku moja aliipokea na akasema hana shida na watoto wangu,  toka siku hiyo sijazungumza naye.Watanzania naomba msaada wa hali na mali, watoto wangu na wapenda na kwa sasa sina kazi, naishi kwa kubangaiza chumba chenyewe nimepanga,’’alisema Fatuma.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top