|
Shujaa;
Mshambuliaji wa Argentina, Gonzalo Higuain kulia akishangilia baada ya
kuifungia timu yake bao pekee dakika ya nane dhidi ya Ubelgiji katika
mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Dunia leo Uwanja wa Nacional mjini
Brasilia, Brazil. Argentina imekwenda Nusu Fainali.
Lionel Messi wa Argentina akimtoka mchezaji wa Ubelgiji
|
on Saturday, July 5, 2014
Post a Comment