BAADA ya kuzagaa kwa taarifa mbalimbali kwamba mwigizaji wa Bongo, Kajala Masanja anachepuka nje, ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli wowote.
Mitandao
mbalimbali ya kijamii imekuwa ikiposti taarifa mbalimbali
zinazomhusisha Kajala kutembea na wanaume tofauti kitu ambacho mwenyewe
amesema hakina ukweli na wanaosambaza uvumi huo, wakome.Akizungumza
na mwanahabari wetu Julai 3, mwaka huu alisema wanaoeneza habari za
yeye anachepuka wanamtafuta ubaya kwani hana mpango wowote wa kuolewa
wala kuishi na mwanaume kwa sasa.“Waniache, mtu akisema nina mwanaume alishawahi kuniona? Sina mwanaume mwingine zaidi ya mume wangu,” alisema KajalaKwenye
mahojiano hayo, Kajala alisisitiza kuwa, haoni sababu ya yeye kuchepuka
wakati mumewe Faraja Augustino yupo hai na anaamini ipo siku atatoka
gerezani na ataendelea na maisha ya ndoa yake kama ilivyokuwa zamani.endelea >>>>>>>>>
Post a Comment