Bingwa
wa kujirusha: Arjen Robben akienda chini baada ya kukabiliana na
mchezaji wa Coasta Rica, Cristian Gamboa katika Robo Fainali ya Kombe la
Dunia usikua wa kuamkia leo nchini Brazil. Uholanzi ilifuzu kwa ushindi
wa penalti 4-3 baada ya are sya 0-0.
Robben akianguka chini baada ua kudhibitiwa na Junior Diaz na Michael Umana
Robben akilalamika kwa refa kwamba amechezewa rafu
Refa Ravshan Irmatov wa Uzbekistan akitaniana na Robben
Post a Comment