Askari kanzu (kulia), akimpeleka kituo cha Polisi Kati, kijana
aliyedhaniwa kumkwapua mtu aliyetoka benki ya NBC katika ya Jiji leo
mpita njia fedha zilizotajwa kufikia sh. mil. 5, maeneo ya Mtaa wa
Samora, Dar es Salaam akiwa na wenzake ambao walifanikiwa kukimbia na
fedha hizo. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)
Loading...
Post a Comment