Wanajulikana kwa majina ya Ganga pamoja na Jamuna Mondal wakiwa na umri wa miaka 45 waliongana wakiwa ni raia wa nchi
ya India walizaliwa mapacha,lakini cha ajabu ni kwamba wanashare bwana
mmoja kutoka na na tatizo lao la kuungana kwa viungo vyao wakiwa na
mikono minne na miguu mitatu wakijulikana zaidi kama Spiders Sister
katika sehemu wanapo aishi,ndugu hao wanasemawalikaa kwa muda zaidi ya
miaka saba bila ya kupata marafiki wakiwa shuleni
Loading...
Post a Comment