Dkt.Jakaya
Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za
millennia(Millenium Challenge Corporation) Bwana Karl Fickensher
wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi Kuzindua Barabara ya Lami ya
Songea-Namtumbo yenye urefu wa kilometa 71.4 iliyojengwa kwa msaada wa
Watu wa Marekani kupitia mfuko huo wakati wa hafla iliyofanyika katika
kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo.
Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za
millennia(Millenium Challenge Corporation) Bwana Karl Fickensher wakati
wa uzinduzi wa Barabara ya lami ya Songea-Namtumbo yenye urefu wa
kilometa 71.4 iliyojengwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania
na msaada kutoka kwa watu wa Marekani kupitia mfuko huo katika sherehe
zilizofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo Mkoani
Ruvuma.
on Tuesday, July 22, 2014
Post a Comment