JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO

Msajili wa NGOs anayatangazia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali
yaliyosajiliwa katika kipindi cha 2005 hadi 2007 ambayo hayajawasilisha
taarifa za mwaka kama inavyoelekezwa na Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka
2005 iliyorekebishwa mwaka 2005 kuwa yanatakiwa kuwasilisha kwa
maandishi maelezo ya kwa nini yasifutiwe usajili wao. Maelezo hayo
yamfikie Msajili kabla ya tarehe 30 Agosti, 2014 saa 9.30 Alasiri.
Kushindwa kufanya hivyo kwa muda uliopangwa kutapelekea kuamini kuwa Shirika husika ni mfu na hivyo kulifutia usajili kwa mujibu wa kifungu cha 24(2) cha Sheria ya NGOs, Na.24,2002.
Kupata orodha ya Mashirika hayo BOFYA HAPA M.S. Katemba
MSAJILI WA MASHIRIKA
YASIYO YA KISERIKALI

Post a Comment