Katekista
wa Kanisa Katoliki Mwananyala akiongoza ibada ya kuaga mwili wa
marehemu, Everlyne Michael Machellah nyumbani kwao Mwananyamala jijini
Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis Dande)
Ibada ikiendelea.

Michael Machellah akiwa na waombolezaji wengine.

Ibada ikiendelea.

Mama wa marehemu (kulia) akiwa na huzuni wakati wa ibada ya kuaga mwili nyumbani kwao Mwanyamala.

Post a Comment