BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0
Mchezaji wa Bongo Fleva, Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa ‘Cloud 112′.
Nyomi ndani ya Uwanja wa Taifa ikifuatilia mechi hiyo.
Kikosi cha Bongo Movies.
Kikosi cha Bongo Fleva.
Bongo Fleva wakisalimiana na Bongo Movies kabla ya mechi.
Bongo Movies kabla ya kuanza mtanange dhidi ya Bongo Fleva.
Bongo Fleva wakisali kabla ya mechi.
Kikosi
cha timu ya Bongo Fleva kimeibuka kidedea katika mtanange wao dhidi ya
Bongo Movies kwenye Tamasha la Usiku wa Matumanini 2014 ndani ya Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mfungaji wa bao pekee la Bongo Fleva ni
mwanamuziki Ali Kiba.
Post a Comment