Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BASI LA "LIM SAFARIS" LAPATA AJALI MAENEO YA KWAMNDULU, TANGA.


 


Basi aina ya YUTONG la kampuni ya LIM SAFARI limepata ajali  eneo la kwa Mndulu katika wilaya  ya Korogwe mkoani Tanga mchana wa leo, hata hivyo ni jambo ya kumshukuru Mwenyezi Mungu abiria wote waliokuwa kwenye basi hilo walinusurika kifo lakini raia wawili wa kigeni waliokuwa pembezoni mwa barabara wamejuruhiwa kwa kupata michubuko sehemu mbalimbali za mwili
.
Basi hilo lilikua likitoka jijini Dar es Salaam  kuelekea Arusha likiwa na namba za lenye usajili T578CQR.




PICHA HIZI ZIME MELETWA KWENU NA amasiashemkala.blogspot.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top