Kijana
mmoja ambaye jina lake na sehemu anayoishi hafikufahamika mara moja
ameuwawa kikatili kwa kuchomwa na moto na wananchi wenye hasira akidaiwa
kuiba pikipiki maeneo ya katikati ya mji wa Morogoro.Tukio hilo limetokea jana maeneo ya Mkundi nje kidogo ya mji wa Morogoroa
Kwa Mujibu Mashuhuda wa Tukio Hilo walisema Pikipiki
zaidi ya 20 zikitokea Mjini.Na moja ya boda boda hizo zilimbeba Kijana
huku akiwa amefungwa kamba miguuni na mikononi huku pikipiki nyingine
ilibeba dumu la mafuta na kiroba cha majani makavu,wapofika hapa
walimlazimisha kushuka huku wakimshushia kichapo na baaade walimchoma
moto walipojirishisha amekufa waliwasha pikipiki zao na kuondoka eneo
hili kwa mbwembwe.boda boda hao walisema walimkamata kibaka huyo alitaka kupora moja ya pikipiki zao”
Uchunguzi
uliofanywa umebaini kwa sasa kumekuwa na vita isiyo rasmi kati ya
vibaka na bodaboda ambapo vikaba kabla ya kuwapora pikipiki boda boda
hao huwafunga kamba kisha kuwauwaa kikatili na baadae kutoweka na
pikipiki,na kwamba boda boda hao nao wakifanikiwa kumkamata kibaka wa
pikipiki umchoma moto kama walivyofanya kwa kijana huyu.
Mashuhuda wa Tukio hilo Wakiwa Eneo la Tukio
Baadhi ya wananachi wa Kata ya Mkundi wakimshnga Kibaka huyo ambaye alichomwa moto akidaiwa kuiba pikipiki
Post a Comment