Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama dawa mbali mbali zilizotengenezwa kwa
kutumia Karafuu kabla ya kufungua mkutano wa Pan African Competetivenes
Forum (PACF) kwenye hoteli ya Stella Maris mjini Bagamoyo August 13,
2014. Kulia ni Waziri wa Sayansi na Tekinolojia Profesa Makame Mbarawa.
(Picha na Ofisi ya Wairi
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu
Mahiza (kushoto) na Waziri wa Sayansi na Tekinoloji, Profesa Makame
Mbarawa baada ya kufungua Mkutano wa Mwaka wa Pan African
Competetiveness Forum (PAC) mjini Bagamoyo August 13, 2014. Watatu
Kulia ni Profesa Burton Mwamila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa
Mwaka wa Pan African Competetativeness Forum, baada ya kufungu
mkutano wa kwenye hoteli ya Stella Maris Mjini Bagamoyo, August 13,
2014. Kulia ni Waziri wa Sayansi na Tekinolojia, Profesa Makame Mbarawa
na Wapili kulia ni Mhandisi Mohammed Jibrin kutoka Nigeria na kushoto
ni General Garbal kutoka Nigeria (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment