Presenter
maarufu ndani na nje ya bongo akiwa pia anajishuhulisha na maswala ya
ugizaji Msanii Jokate Mwagelo katika hali isiyokuwa ya kawaida
amekutana uso kwa uso na aliwewahi kuwa mpenzi wake msanii Diamond kaitka moja ya Interview ambayo hufanya kwenye kipindi cha The One show kinachorushwa na kituo cha Tv cha Tv1,ambapo Joakote alionekana kumwonea aibu msanii Diamond na yeye pia nguli wa bongo Fleva kuoneka akiona aibu vilevile unaweza kutizama pia hizo hapa

Post a Comment