Beautiful Onyinye, Wema Sepetu.
BEAUTIFUL
Onyinye, Wema Sepetu ametangaza dau la shilingi milioni moja kwa yeyote
atakayefanikisha kupatikana kwa mbwa wake aitwae Vanila aliyepotea hivi
karibuni.Akielezea ishu
hiyo, Wema alisema mbwa huyo alikuwa na mwenzake akiishi nao nyumbani
kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambapo juzikati alikorofishana na
mwenzake aitwae Thiona na kuamua kutokomea kusikojulikana.
Mbwa wa Wema Sepetu aitwae Vanila.
Msanii
huyo alisema anaomba yeyote atakayemuona Vanila wake awasiliane naye au
atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye na
atakabidhiwa pesa zake taslimu.
on Thursday, August 14, 2014
Post a Comment