Hatimaye
baada ya miaka minne klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam leo imempokea
kocha wao Patrick Phiri ambaye anakuja kuchukua nafasi ya Zdrack
Logarusic.Phiri ambaye ameshaifundisha Simba huko nyuma anategemewa
kusaini mkataba wa miaka miwili na Simba.
credit: Bin Zubeiry blog
on Thursday, August 14, 2014
Post a Comment