Wema akiwa na Meneja wake Martin Kadinda
Ok hapo juu ndo ujumbe alioandikiwa Meneja wa mrembo Wema Sepetu
anaeitw @mrekebishatabia. Maswali mengi yamekuja baada ya Wema kufanya
show Mwanza mpenzi wake alipokuwa akiperform jukwaani, pamoja na hayo
mashabiki waliyo wengi wametaka kuona Wema akijishughulisha kuliko hivyo
anvyo zunguka na hawajui anafanya nini. Wema ana mashabiki wengi sana
wanaompenda na kutaka mafanikio yake. Baada ya swali hilo hapa chini ndo
jibu alilitoa kaka Meneja wa Wema amejielezea vizuri sana.
Post a Comment