Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, akizungumza na Mwenyekiti wa
Jukwaa la Katiba (JUKATA), Deus Kibamba, alipomtembelea ofisini kwake
Bungeni Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Jukwaa hilo Hezron Kaaya.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akizungumza na Viongozi wa
Jukwaa la Wahariri (TEF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini
Dodoma leo. Picha na Owen Mwandumbya.
Post a Comment