Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua Mkutano wa Sita wa Vyuo Vikuu uliofanyika leo Agost
12-2014 katika Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha. Mkutano huo
umewakutanisha washiriki mbalimbali wakiwemo, wanazuoni, wanasayansi,
watunga sera na wawakilishi wa wafanyabiashara kutoka nchi za
Tanzania, Kenya, Uganda, Senegal, Canada, Ujerumani, maofisa wa Benki
ya Dunia na wadau mbalimbali wa maendeleo. Lengo la Mkutano huo ni
kujadili nafasi ya Elimu ya Juu katika utekelezaji wa Malengo ya Milenia
(MDGs)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa
Sita wa Vyuo Vikuu uliofanyika leo Agost 12-2014 katika Hoteli ya Naura
Spring mjini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiangalia vitabu vya aina mbali mbali alipotembelea mabanda ya
maonesho yaliyoandaliwa na Vyuo Vikuu baada ya kufungua Mkutano wa Sita
wa Vyuo Vikuu wenye lengo la kujadili nafasi ya Elimu ya Juu katika
utekelezaji wa Malengo ya Milenia (MDGs) Mkutano huo umefunguliwa leo
Agost 12-2014 katika Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akijadiliana jambo na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Sita wa
Vyuo Vikuu wenye lengo la kujadili nafasi ya Elimu ya Juu katika
utekelezaji wa Malengo ya Milenia (MDGs) Mkutano huo umefunguliwa leo
Agost 12-2014 katika Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha. (Picha na OMR)
Post a Comment