Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambeneakiwaonesha Maafisa Habari wa
Wizara ya Maji (hawapo pichani) namna Matumizi ya Mtandao wa Kijamii wa Twitter
unavyofanya kazi hasa katika nguvu na kasi ya upashaji habari kwenye jamii, wakati
wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye
lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelazaji
wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Maafisa Uhusiano Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kutoka kushoto ni Neema
Mbuja, Salama Kasamalu na Henry Kilasila wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya
Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya
Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini Leo Jijini Dar es
Salaam.
Afisa
Habari wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Dennis Kiilu akimueleza jambo
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani)
wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini
yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelezaji
wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari
wa Wizara hiyo Bi. Fatuma Malende.
Kaimu
Meneja Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bw. Adrian Severin
akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene
(hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya
Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa
vitengo hivyo katika utekelzaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es
Salaam
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akieleza jambo kwa Maafisa Uhusiano
wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) (baadhi hawapo pichani) wakati wa Ziara
ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la
kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelzaji wa majukumu
yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Meneja Uhusiano wa
Shirika hilo Bw. Adrian Severin na katikati ni Afisa Uhusiano wa Shirika hilo
Bw. Henry Kilasila. [PICHA
NA HASSAN SILAYO]
Post a Comment