Staa wa filamu ambaye anashika nafasi ya kwanza kwa kufungasha Tanzania nzima, Efranciya Mangii ameibuka na kupasua jipu kuwa licha ya kuzalishwa mtoto mmoja lakini hakuna mwanaume aliyewahi kumridhisha kimahaba ( kumfikisha kileleni).
Akiteta na Mpekuzi wetu jijini Dar es Salaam, Efranciya ambaye amewahi kukumbwa na skendo ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa wanawake ( Usagaji ) alisema kila mwanaume anayekuwa naye hamfikishi popote....
"Sijawahi na bado siamini kama naweza kupata mwanaume anayeweza kunifikisha kileleni na hatimaye kunifanya niyafurahie mapenzi. Hata hivyo, ntafanyaje na mimi nimeumbwa hivi? Kikubwa ni kwamba nimezaa na ninajisikia faraja sana," alisema Efranciya.
Msanii huyo aliyeibukia kwenye shindano la Maisha Plus na kujizolea umaarufu mwingi, alieleza kwamba hajawahi kujihusisha na usagaji na daima hatathubutu kufanya hivyo.
2 comments
Anitafute.
ReplyAnitafute.
ReplyPost a Comment