Mshiriki wa filamu mpya ya Fundi Seremala, Kajala Masanja ameanza kumfichua mpenzi wake mpya baada ya kuingiza mtandaoni picha inayomuonyesha akipigana mabusu na kijana mmoja ambaye hakujulikana jina lake mara moja, anayehisiwa kuwa mpenzi mpya wa mwigizaji huyo.....
Kajala ambaye katika filam ya Fundi Seremala ameigiza kama mmoja wa washiriki wakuu anadaiwa kuziachia kwa makusudi picha hizo ili kuuondoa uvumi wa kumzunguka aliyekuwa rafiki yake Wema Sepetu na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wake, Clement.
Hata hivyo, Kajala bado hajasema lolote kuhusiana na picha hizo licha ya picha hizo kusambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii
Post a Comment