Kwa taarifa zilizotufikia zinasema kwamba Shitambala
ambaye ni MNEC kupitia Wilaya ya Mbeya mjini anashikiliwa na Jeshi la
Polisi Mkoa wa Mbeya kisa kuwatetea wananchi kuhusu Mzungu kuvamia eneo
kufikishwa mahakamani kesho.
on Wednesday, August 13, 2014
Post a Comment