Baada
ya siku moja tu Chris Brown ku-post poster la tour ya Rihanna na Eminem
kwenye instagram, Chris Brown ameonekana kuendelea kuongeza ukaribu
zaidi na Rihanna.
Japokuwa picha haipo clear sana lakini inaonyesha Chris Brown
alivyokwenda back stage ambapo alikuwepo Rihanna kwenye moja ya show za
tour hiyo.
Picha haionyeshi vizuri lakini kuna mashahidi wengi wanasema kwamba
Chris Brown alikuepo backstage akiwa na Tyga na welienda kwa ajili ya
Rihanna.
Post a Comment