Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kinachoendelea katika ziara ya Katibu mkuu wa CCM, Ndugu Kinana


20
Katibu Mkuu wa CCM  Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Juma Abeid Diwani wa Kata ya Magawa wilayani Mkuranga wakati alipotembelea shamba la Mikorosho lenye hekari 1000 ambapo mikorosho inayokaribia elfu 20 imeharibika vibaya baada ya kupata ugonjwa unaonyausha mikorosho hiyo , Diwani huyo amesema wananchi wa kata hiyo wako katika hali mbaya kwakuwa zaidi ya miaka minne sasa hawajavuna chochote na maisha yao yanazidi kuwa mabaya, Katibu Mkuu Kinana yuko katika ziara ya mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.
PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE- 2 
 11 
 13 
 14 
Mmoja wa wapiga ngoma wa kikundi cha ngoma cha mjini Utete akipiga ngoma huku akiwa amebeba mtoto wake mdogo na mtoto wake mwingine akiwa amekaa pembeni. 15 
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo. 17 
Mkuu wa wilaya ya Rufiji Mh. Nurdin Babu akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Utete leo 18 
  20 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wana Utete wakati wa mkutano wa hadhara uliofnyika mjini Utete.  21 
Baadhi ya wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi wakila kiapo mara baada ya kupokea kadi zao za uanachama
  23 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Dr. Onesmo Mambosho Mganga Mfawidhiwa wa kituo cha afya cha Nyamwage.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top