Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya
Mafia ambapo aliwataka Viongozi wa CCM waache mkorogano badala yake
wafanye shughuli za maendeleo kwanza.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia.
Naibu Waziri Nishati Charles Kitwanga
akihutubia wakazi wa Mafia ambapo aliwaambia Mafia ndio wilaya pekee
itakayopata Umeme kwa asilimia 100%.






Post a Comment