BUNGE
Maalum la Katiba limechafuka wakati wa Majadiliano ya Taarifa za Kamati
baada ya Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy kusema Serikali ya
Zanzibar inatumia fedha za Tanzania Bara kuendesha mambo yake ikiwemo
kulipwa mishahara.
Wajumbe
kutoka Zanzibar wamemshambulia kwa maneno makali wakidai kawavunjia
heshima hali iliyopelekea Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta
kuingilia kati katuliza mzozo huo.



Post a Comment