Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akizungumza na Mhe. Charles M. Huber (wa pili kushoto) ambaye ni Mbunge
na Mjumbe wa Kamati ya Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo na Mambo ya
Nje ya Bunge la Shirikisho la Ujerumani wakati alipofika Ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo Septemba 15, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Charles M. Huber (kulia kwa Makamu
wa Rais), Stefan Reith Mwakilishi wa Konrad Adenauer Stiftung (KAS)
kushoto, Naibu Balozi wa Ujeruman nchini John Reyels (wa pili kulia) na
Richard Shaba baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Dar es Salaam
Septemba 15, 2014. Picha na OMR
Post a Comment