Mzoga wa samaki aina ya Nyangumi ulioibuliwa na wavuvi katika pwani ya Bahari Hindi mkoani Mtwara mapema wiki iliyopita.
Baada
ya kufikishwa nchi kavu, mzoga huo wa samaki Nyangumi, wananchi
walikusanyika na kuanza kugombea kukata vipande vya nyama kwa ajili ya
kitoweo ambapo walizuiliwa na askari Marin waliowaambia wananchi kuwa
samaki huyo haliwi kutokana na kutokuwa katika orodha ya samaki
wanaoliwa.
Mzoga huo ukiburuzwa kufikishwa nchi kavu.
Post a Comment