Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Davido, Diamond na Cassper Nyovest, kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Big Brother, Jumapili hii



Davido, Diamond na rapper anayetamba kwa sasa Afrika Kusini Cassper Nyovest wametangazwa kutumbuiza kwenye ufunguzi wa shindano la Big Brother Afrika, Jumapili hii.
Ufunguzi huo utarushwa live kuanzia saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Cassper Nyovest anajulikana kwa ngoma zake kama “Gusheshe” na “Doc Shebeleza” na amewahi kushare jukwaa na wasanii mbalimbali wakiwemo Kendrick Lamar na Wiz Khalifa.
Wengine ni pamoja Dj Dimplez, AB Crazy na Emmy Gee ambao wanafahamika kwa wimbo wao “Rands and Naira”
Usikubali kupitwa na tukio lolote kutoka ndani ya jumba hilo. Picha, Video, Live Updates, Video zao Wakioga na Mengine Mengi yatakuwa yakiruka mtandaoni moja kwa moja kupitia site yako pendwa ya
www.bigbrotherafricans.com << BOFYA HAPA>>
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top