Mwenyekiti
wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe Zitto Kabwe
akisoma Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu akauti ya
ESCROW Bungeni Mjini Dodoma leo.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Anne Makinda
akifafanua jambo wakati akiendesha Bunge hilo leo mjini Dodoma.
Baadhi ya wahudumu wa Bunge wakigawa Ripoti ya CAG kuhusu akauti ya ESCROW kwa Wabunge
Waheshimiwa
Wabunge wakipitia ripoti ya CAG kwa makini wakati ikisomwa na
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mhe Zitto
Kabwe.
Mhe Said Arfi akimpongeza Mhe.Zitto Kabwe ,mara Baada ya kumaliza kusoma ripoti ya CAG
Wabunge wakiwa wamesimama kuashiria kuunga mkono mara baada ya Mhe.Zitto Kabwe kumaliza kusoma ripoti ya CAG BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Post a Comment