Waziri
Mkuu, Mizengo pinda akizunguma na Watanzania waishio nchini Oman
akihitimisha ziara yake nchini humo Oktoba 29, 2014. Kulia ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maalim Mahadhi
nakushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.

Baadhi
ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda
wakati alipowahutubia kwenye hoteli ya Al Bustan mjini Muscut Oktoba 29,
2014.

2014.Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu

Post a Comment