Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta (kulia) na Naibu
Waiziri wa TAMISEMI (Elimu) Mh. Kassim Majaliwa wakizungumza nje ya
Ukumbi wa Mkutano wa Kenyatta kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki wa Miundombinu Nov 29, 2014,Nairobi
Mkurugenzi
wa Miundombinu na Sekta za Kijamii wa Wizara Bw. George Lauwo (kushoto)
akifuatilia mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
kuhusu Miundombinu Nov 29, 2014 Nairobi, Kenya.
Kaimu
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Bw. Petro Lyatuu akifuatilia Mkutano wa Miundombinu wa Wakuu
wa Nchi za Jumuiya Nov 29, 2014 Nairobi,
Mfanyakazi
wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Edna Chuku akifuatilia
mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya kuhusu Miundombinu Nov 29, 2014
Nairobi, Kenya
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo (kushoto) akifuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu uliofanyika leo Novemba 29, 2014 Nairobi Kenya.
Naibu
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Dkt Abdullah Juma
Saadalla (kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utawala Bora
(katikati) Mh. George Mkuchika na Naibu Waziri wa TAMISEMI (Elimu) Bw.
Kassim Majaliwa wakifuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu uliofanyika leo Novemba 29, 2014
Nairobi Kenya
Naibu
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Dkt Abdullah Juma
Saadalla (kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utawala Bora
(katikati) Mh. George Mkuchika na Naibu Waziri wa TAMISEMI (Elimu) Bw.
Kassim Majaliwa wakifuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu uliofanyika leo Novemba 29, 2014
Nairobi Kenya
Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samuel Sitta akitoa hotuba yake
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki kuhusu Miundombinu leo Novemba 29, 2014 Nairobi, Kenya
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afrika Mashariki Bw. Amantius Msole (kulia) na
Naibu Mwanasheria Mkuu Mh. George Masaju walifuatilia Mkutano wa Wakuu
wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu leo Novemba
29, 2014 Nairobi, Kenya
Makamu wa Rais wa Kenya Bw. William Ruto akizungumza kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu Miundombinu leo Novemba 29, 2014 Nairobi, Kenya |
Post a Comment