Mbunge
wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Gulam Dewji akisalimiana na
wapiga kura kura wake na wananchi wa jimbo la Singida mjini mara baada
ya kuwasili kwenye viwanja vya Kibaoni tayari kuzindua kampeni za CCM
uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo la Singida Mjini.(Picha na
Geofrey Mwakibete wa MOblog).
Mbunge wa Singida MO Dewji akipata mapokezi kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni zilizofanyika Kibaoni mjini Singida.
Mbunge
wa jimbo la Singida mjini Mhe. Mohammed Dewji akimnadi mgombe wa nafasi
ya m/kiti wa mtaaa Kibaoni Timotheo Ruben John kwenye uzinduzi wa
kampeni za CCM uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo la Singida
Mjini.
Mbunge
wa jimbo la Singda mjini mhe. Mohammed Dewji akizungumza kwenye
uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya soko la zamani
la kitongoji mjini hapa.
Mjumbe
wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Philip
Mazala, akitoa nasaha zake kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM
zilizofanyika Kibaoni mjini hapa.
Mgombea
wa nafasi ya uwenyekiti wa mtaa wa Kibaoni Timotheo Ruben John akiomba
kura kwa ajili ya nafasi hiyo, Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM (NEC)
taifa jimbo la Singida mjini Hassan Mazala akifurahia jambo wakati wa
uzinduzi wa kampeni za CCM zilizofanyika jana.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliohudhuria uzinduzi huo wakimsikiliza Mbunge wao.
Post a Comment