Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mh. Lowasaa akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose katika Ofisi ya Mwenyekiti huyo wa bunge jijini Dar es Salaam leo.
Edward Lowassa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akiagana na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose baada ya wawili hao kukutana na kufanya mazungumzo jijini Dar es Salaam leo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top