Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mke wa Mtu Anaswa Akifanya Mapenzi na Njemba Kwenye Gari


Mwanamke mmoja anayedaiwa  kuwa  ni  mke  wa  mtu amenaswa live  akifanya mapenzi ndani ya gari katika eneo la Kirumba  jijini  Mwanza.

Mwanamke  huyo alinaswa majira ya saa tisa za usiku katika eneo  hilo  maarufu  kwa biashara  haramu  ya ngono  lililopo jirani na Villa Park ambapo mbali  na  tukio  hilo, mwandishi  pia  alishuhudia wanawake wengi wakiwa wamesimama na kujinadi kwa wanaume waliokuwa wakiwafuata na kuzungumza nao kuhusu biashara  hiyo.
 
Katika soko hilo la wauza miili, baadhi ya waliokubaliana walionekana  wakiondoka na kuelekea kusikojulikana huku wengine wakisogea  pembeni  palipo na giza na  kujifanya 'mbwa' kisha  kumalizana  kwa  staili  ya  wanyama  hao.
 
Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja akiwa na mwanaume, wao  hawakutaka  kujifanya  'mbwa'  wala  hawakutaka  kusumbuana  kwenda  gesti, badala  yake waliamua kuingia ndani ya  gari moja lililokuwa limeegeshwa katika eneo linalojulikana kama Magereji, lililopo pembeni ya Uwanja wa CCM Kirumba.

Hali  hiyo  ilimfanya  mwandishi  awasogelee  na  kuwapiga  picha  ambapo  katika  purukushani  hiyo, mwanaume  alifanikiwa  kuchomoka pasi  kupigwa  picha  huku  akimwacha  mwanamke  huyo  akiomba  asamehewe  kwa  kuwa  ni  mke  wa  mtu na  ndugu   zake wakijua  itakuwa  balaa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top