Loading...
Home » Archives for June 2015
LOWASSA AENDELEA KUSOMBA WADHAMINI KWA KISHINDO JIJINI ARUSHA ..... AKOMBA ZAIDI YA WADHAMINI 12O,000
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Jiji la Arusha waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa ulipo mbele ya Ofisi za CCM Mkoa huo, leo Juni 24, 2015, wakati alipofika kwa ajili ya kupata udhamini utakaomuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Mh. Lowassa akiwaaga WanaCCM wa Mji wa Arusha.
on
ANGALIA PICHA MAHABUSU AVUA NGUO NA KUBAKI UCHI WA MNYAMA KISHA KUNG'ANG'ANIA BENDERA YA TAIFA ILI KESI YAKE ISIKILIZWE
|
on
TANGAZO LA MSIBA TANZANIA NA MAREKANI
DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kwa ajili ya mazishi.
Tutatoa taarifa zaidi mwili utakapowasili. Kwa mawasiliano tafadhali mpigie Yussuf Mhiro 0754-609-338 / 0714-979-014.Usoma taarifa hii tafadhali wajulishe ndugu jamaa na marafiki wa Ukoo wa Humbi Ziota na Musisa. Au Kaka wa Marehemu DR. ALI A. MZIGE 0713 410 531, 0754 495 998.
Inna Lillahi, wa inna ilaihi ra'ajiun.
on
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA
Sehemu ya Umati wa wakazi wa wilaya ya Kwimba na vitongoji vyake wakiwa wamekusanyika katika mkutano wa hadhara,Uwanja wa Mpira wa Ngudu, wilayani humo, wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri uwanjani hapo,wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake ndani ya jimbo hilo la Kwimba jioni ya leo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mpira wa Ngudu,Ndugu Kinana alikemea tabia ya wapinzania kuwahadaa vijana nchini kuwa wakiingia madarakani wataweza kuwatekelezea kila kitu,aidha aliwataka vijana wa kitanzania kuacha kabisa kuhadaika na baadhi ya Wanasiasa ambao wamekuwa wakiwapotosha na kuamini kila kitu kitapatikana bila kufanya kazi na kujituma.
on
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA
RPC. Ofisi ya Kamanda wa Polisi,
Namba ya simu 2502572 S. L.260,
Fax - +255252503734
MBEYA.
MBEYA.
E-mail:- rpc.mbeya@tpf.go.tz
tanpol.mbeya@gmail.com
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 25.06.2015.
MTU MMOJA AUAWA KWA KUKATWA NA KITU CHENYE NCHA KALI NA WATU WASIOFAHAMIKA.
on
KINANA AFANYA AMSHA AMSHA KUBWA KATIKA JIMBO LA KWIMBA, AKAGUA MIRADI, MWENYEKITI WA CHADEMA AHAMIA CCM, MKUTANO NGUDU MJINI WAFURIKA WANANCHI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara aliofanya leo katika Uwanja wa CCM, katika mji mdogo wa Ngudu, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uahi wa Chama katika wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo alipohutubia mkutano wa hadhara aliofanya kwenye viwanja vya CCM kwenye mji mdogo wa Ngudu, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza leo
on
SAMWEL SITTA USO KWA USO NA LOWASSA,TIZAMA HAPO KUJUA

Leo
tumekutana na ndugu yangu Mheshimiwa Samuel Sitta. Mimi na Sitta
tumetoka mbali kikazi na kindugu. Tumefanya kazi pamoja bungeni, ndani
ya CCM na serikalini kwa mafanikio makubwa.
Namtakia heri katika harakati zake huku nikiaminikwa dhati kwamba uhusiano wetu ndiyo msingi wa umoja na mshikamano ndani ya CCM na kwa taifa letu kwa siku zijazo.
on Sunday, June 14, 2015
KINANA AINGIA WILAYA YA NGARA, AKAGUA MIRADI YAMAENDELEO NA KUTOA CHANJO KWA WATOTO
on
LOWASA KAMA RAIS-TIZAMA ALIVYOTUA NYUMBANI KWA BABA WA TAIFA
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akisalimiana wanachama wa CCM waliofika
kumpokea katika Uwanja wa Ndege Musoma mkoani Mara jana kwa ajili
yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa CCM
waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege Musoma mkoani Mara jana kwa
ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na wanachama wa Chama Chama
Mpinduzi(CCM )nje ya Ofisi ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara baada wakati
alipofika kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.
on
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
-
Alfajiri2 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-





















